MY CHOCO

Ni unga wa chokoleti uliongezewa sehemu ya virutubisho vya Complete Phyto Energizer.Pia imeongezewa unga wa Alkalin poweder yenyewe husawazisha viwango vya PH mwilini.Pia ina DHA (Docosa Hexanoic Acid) ambayo husaidia Ubongo kutunza kumbu kumbu vizuri.Ninzuri sana kwa watoto na akina Read More …

LIVEN ALKALINE COFFEE

Ni kahawa iliyo ongezewa sehemu ya virutubisho vya Complete Phyto Energizer.Pia imeongezewa ALKALIN POWDER yenyewe husawazisha kiwango cha PH mwilini. Ipo ladha ya aina tatu ambazo ni LATTE, ORIGINAL na CAPPUCINO. Iko pia kahawa isiyo na sukari kwa wale wenye