Activities

SERVICES/PRODUCTS

  1. i) Tunashughulika na afya ya binadamu hasa kutoa elimu na mafunzo ya namna ya kujikinga na magonjwa na pia namna ya kutatua changamoto za afya.
  2. ii) Aina ya huduna tunazotoa
  • Kutoa elimu kwa jamii yote kuhusu mfumo wa mwili wa binadamu na aina mbalimbali za magonjwa kama magonjwa ya kuambukiza na yale yasiyo ya kuambukiza, Zaidi kutoa taarifa sahihi za kuisaidia jamii kuwa na mfumo mzuri wa maisha utaopelekea kuwa na afya njema.
  • Kutoa ushauri nasaha kwa jamii kuhusu hatua madhubuti za kuchukua ili kujikinga na kuepuka maradhi kwa kutumia chakula cha asili chenye virutubisho lishe.
  • Kutoa miongozo ityayosaidia mtu kuimarisha afya yake kama vile matumizi ya maji ya kunywa ya kutosha na ratiba nzuri ya mpangilio wa chakula chenye kurutubisha mwili

Iii) Huduma tunzotoa zimegawanyika katika makundi mawili kama vile:-

  • Kufanya semina za nje(outreach) ya ofisi ili kuyafikia makundi ya watu mbali mbali hasa wale ambao sio rahisi kufika ofisin kwetu kwa kuwatembelea maofisini kwao na kufika kwenye
  • makazi yao
  • Kufanya semina za ndani ya ofisi zetu zilizosambaa maeneo mengi ya mikoa yetu ili kufanikisha zoezi la kutoa huduma bora ya kiafya kwa jamii yetu yote.